Mwamvita Makamba atapeliwa na Sheria Ngowi

Hahahahahaha mkuu nimekubamba hua unawasema wanaume wa Dar kumbe na wewe ndiyo zako hizi.
 
Mwamvita na yeye anataka kuanza uswahili sasa..kama alimtapeli kwanini asiende mahakamani?!
.
Sikutegemea kwa mdada msomi kama yule kugeuza Social Networks kuwa ndio sehemu ya kutatua matatizo yake[emoji18]...
Mwamvita nakukubali sana kwa kazi zako,haya madrama ya kulalamika lalamika kwenye mitandao waachie Wema na Zari

Kama Sheria amekutapeli basi take him to the court!!na pesa ya kulipa mwanasheria yeyote yule unayo,sasa kwanini kwenye mitandao ya kijamii?!..
 
Sharia mjanja mwenzenu katumia Fursa, shemeji wa waziri si kitu mchezo atii [emoji1] [emoji1]
Ye akakolea kabisa wakati mwenzie alikuwa anatafuta fursa mjini.
 
Kama katapeliwa ampeleke mahakamani huku kwenye social media hakuna atakacho kipata zaidi kujichoresha tu!
 
Bongo shida kupata partner ...akawa mwaminifu
Wayu wameliwa kila sehemu....
 
Naona mapenzi yao yamefika mwisho wanataka kugawana mbao za jahazi sasa
 
Unfortunately most of the free people lured, are children.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…