Mwamvita Makamba atapeliwa na Sheria Ngowi

siwez kupoteza mda wangu kujadili wivu wa mapenzi na visasi vya kingono hamna utapeli hapo
 
Yeye mwenyewe tapeli acha atapeliwe tu
 
Kubanduana siyo kosa kosa ni kutapeli, mimi nadhani ikithibitika afungwe tu hana shukrani huyu jamaa, watu tunammezea mate yule dada japo kubandua tu yeye anamuibia? imeniuma sana ...mxuuuu!!
Kubanduana siyo kosa kosa ni kutapeli, mimi nadhani ikithibitika afungwe tu hana shukrani huyu jamaa, watu tunammezea mate yule dada japo kubandua tu yeye anamuibia? imeniuma sana ...mxuuuu!!

Pole mkuu!
 
Si alikua anambandua kipindi fulani...
ila nilisikia kipindi huko yule kaka alikua na bidada kwa maslahi yake zaidi... Kumbe na alimtapeli juu
Ila ukiwa biz partner na mwanamke ni rahc kumtafuna hata wewe jaribu
 
Kumbuka ilikuwa zaidi ya business partner....
 
Povu vp tena zari n wema wamefilaje hapa kisa kukuzidi kipato tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…