Mwana Biologia soma hapa

Mwana Biologia soma hapa

Ianirto

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Habar wana uwanja. M napenda sana somo la biology coz linanijuza jins mwili wangu unavyofanya kazi.

Napenda kujua ni nin kinachofanya mtu acheke?

Inakuwaje kuwaje mpaka mtu acheke {how}

Je kicheko ni kitendo cha hiari au sio? Na je ni response to stimulus au sio?.

Ni hayo tu wanauwanja
 
Kuchekeka ni involuntary action pindi mtu anaposikia kitu sense organ ya sikio ina receive stimulus ya sound au mtu anapoona kitu sense organ ya macho inareceive stimulus ya light alafu taarifa inapita kupitia katika nerve mpaka katika ubongo.Hapo ubongo unaanza kutafsiri ile stimulus ya sound au light baada ya hapo hiyo stimulus iliyotafsiliwa inaenda inapita katika efferent neurone kwenda katika effector ya misuli ya mdomo hapo mwanawani unaanza kuangua kicheko NOTE: KUCHEKA SI KITENDO CHA HIARI.hivyo ndo ninavyokumbuka mdogo wangu maana kitambo kidogo hayo mambo ndo niliyagonga COORDINATION
 
Da sawa ndugu umenisaidia nimepitia kidogo nimejikumbusha vijimambo vidogovidogo kweli biology tamu na rahisi kuliko hata history
 
Back
Top Bottom