Kuchekeka ni involuntary action pindi mtu anaposikia kitu sense organ ya sikio ina receive stimulus ya sound au mtu anapoona kitu sense organ ya macho inareceive stimulus ya light alafu taarifa inapita kupitia katika nerve mpaka katika ubongo.Hapo ubongo unaanza kutafsiri ile stimulus ya sound au light baada ya hapo hiyo stimulus iliyotafsiliwa inaenda inapita katika efferent neurone kwenda katika effector ya misuli ya mdomo hapo mwanawani unaanza kuangua kicheko NOTE: KUCHEKA SI KITENDO CHA HIARI.hivyo ndo ninavyokumbuka mdogo wangu maana kitambo kidogo hayo mambo ndo niliyagonga COORDINATION