Tetesi: Mwana CCM adai mwezi Julai 2020, viongozi wa upinzani hasa Mbowe, Lissu, Zitto, Maalim Seif nk kuhukumiwa vifungo jela na CCM kupita bila kupingwa

Waaambiage waache wazimuuuu tutakujaaa kuwakataa booloji zaooo
 
Pole sana. Soma historia. Walokuwa wakimshabikia Hitler, mipango yake na mikakati ovu, hawakuamini kuwa angeweza kuondoka na kujiua. Kwa vile walimwabudu na kumtukuza kama ufanyavyo wewe. Juhudi za shetani haziishi ila hufanikiwa kwa muda mfupi tu.
Una fikra najisi. Kwamba unapanga kichwani kuwa wasemao ya kweli na yanaonekana wanamtukuza mtendaji! Du, umfilisika kichwani!

Au huoni jinsi Wenyeviti wa vya upinzani wanavyotukuzwa wakati ukweli wa wa wazi wanatafuna Ruzuku, wanawateua viongozi wa vyama vyao kwa upendeleo na hawaulizwi!!!
 
Great thinking
 
.

Jr[emoji769]
 
Huyu ni shetani tangu mwanzo na muuwaji mkuu
 
kwa style hii vita ya wenyewe kwa wenyewe sidhani kama itakwepeka.

hii itakuwa eexcuse nzuri ya mataifa kama US kujiingiza moja kwa moja katika politics za Tanzania na pengine kuiondoa CCM madarakani kwa nguvu.

CCM chonde chonde tuepushieni hii dhahama kwani watakaoumia si upinzani pekee bali Watanzania wote!
 
Hukumu itakuwa ni kulipa faini, hilo kila mmoja atalimudu, Mashinji inclusively.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mbona yamekuwepo tyr na sio suala la kuficha, hii inayofanywa na ccm ukisoma vitabu vitakatifu hii ni copy and paste toka kwa shetani
 
Lolote linaweza kutokea,hakuna linalo shindikana chini ya jua,kwani hata ikitokea nani atafanya nini zaidi tu ya kuja kulalamika tu hapa jf ama twiter ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakayeianzisha hiyo vita nani?
 
Hakika thus zile kesi haziishi zinasubiria ufike wakati.
Mashinji kakimbia kesi kaamua kupigwa chapa
 
Hata ccm yapo huna chapa upati teuzi
 

unamsifia mwanaume mwenzio mpaka unaboa
 
Kuscan matokeo kuna maana ipi huku matokeo ya kura hayapingwi mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…