Mwana CCM Mwenzangu Lucas Mwashambwa naamini hata Wewe unakubaliana nami kuwa Umati wa Pangani sasa umekuja Wenyewe wala haujalazimishwa au kubebwa

Mwana CCM Mwenzangu Lucas Mwashambwa naamini hata Wewe unakubaliana nami kuwa Umati wa Pangani sasa umekuja Wenyewe wala haujalazimishwa au kubebwa

Mbona mafumbo,kama unatoa habari toa habari.

Kama niumbea mnajukwaa lenu.
 
Pangani ipo pembeni sana na haina maendeleo makubwa miongoni mwa wilaya za mkoa wa Tanga. Kuna wakati wilaya hii nusura iangukie mikononi mwa CUF, kwa sasa ni ngome ya CCM, hakuna upinzani Pangani kwa mujibu wa mbunge wake wa CCM anayeongea mbele ya mwenyekiti wa chama chake aliyeko ziarani mkoani Tanga
 
Back
Top Bottom