Mwana FA aleta msiba mkubwa kwa kina dada wa mjini

Mwana FA aleta msiba mkubwa kwa kina dada wa mjini

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali.

Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi nsichokijua ina TV ndani?

Asante FA kwa hii fimbo ya kufungia mwaka haswa kipindi hiki cha Magufuli [HASHTAG]#TeamDumeSuruali[/HASHTAG]

https://mkito.com/song/14331
 
Back
Top Bottom