mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,222 Reaction score 4,689 Nov 21, 2016 #1 Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali. Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi nsichokijua ina TV ndani? Asante FA kwa hii fimbo ya kufungia mwaka haswa kipindi hiki cha Magufuli [HASHTAG]#TeamDumeSuruali[/HASHTAG] https://mkito.com/song/14331
Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali. Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi nsichokijua ina TV ndani? Asante FA kwa hii fimbo ya kufungia mwaka haswa kipindi hiki cha Magufuli [HASHTAG]#TeamDumeSuruali[/HASHTAG] https://mkito.com/song/14331