Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameagiza wataalamu wa wizara yake kufanya tathmini ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi kwa ajili ya AFCON 2027 katika eneo la FFU, Morombo, Arusha.
Ametoa maagizo hayo leo, Februari 15, 2025, wakati wa uzinduzi wa michuano ya Chuga Cup 2025, kufuatia ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Mrisho Gambo, la kujengwa uwanja wa kisasa kwa maandalizi ya michuano hiyo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Mhe. Mwinjuma amesema wananchi wa Arusha wanapaswa kuendelea kumwamini Gambo kutokana na juhudi zake katika miradi mbalimbali, ikiwemo mpango wa kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu tangu alipokuwa Mkuu wa Mkoa.