Mwana Fa awasaliti wasanii wenzake kwa Millioni 30

Mwana Fa awasaliti wasanii wenzake kwa Millioni 30

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
according na Sugu na kundi lake linalijiita VINEGA wamemshutumu msanii wa Kizazi kipya Mwan Fa kuwa amewauza na kuchukua mill 30 toka kwa ruge mutahaba ili awasaliti na kujiunga na Tfu

 
sugu bana ana makelele sana naye..aghhhj
 
RADIO YA WAFU INAUGWAYA MUziki Wa SUGU.
 
Kwani SUGU Mbunge wa wapi? unadhani wapiga kura wake ni wanawake watupu?

Kwa hiyo anawawakilisha wapiga kura yake kwa yale matusi ya kiingereza cha kuunga unga......'ananchekesha'
 
Hawa jamaa ni wahuni tu. Fa kawazidi kielimu, hizo ni chuki binafsi.

Acheni umbeya.
 
acheni kuongea msiyoyajua,clouds inanyonya sana wasanii na mkifanya uchunguz wa kina mtaona juu ya haya niyatamkayo,kwenye fiesta wasanii hawapew chochote ukitaka pesa hawakupi promo tena
 
nadhani hapa hoja ni "MWANA FA KUWASALITI WANAMZIKI NA WANAHARAKATI ZA UKOMBOZI KWA VIJANA WAIMBAO MUZIKI DHIDI YA MNYONYAJI WAO RUGE NA WENZAKE IN GENERAL"..Tukianza kuongelea sugu anaewakilisha nani tunapotosha hoja..mwana FA aje hapa akanushe au akae kimy atumchue ni msaliti a.k.a snitch basiii....ni maoni tuu
 
ukitaka kumfahamu vizuri sugu muulize mkuu wa mkoa huu hapa
'mbeya'
 
Kwa hiyo anawawakilisha wapiga kura yake kwa yale matusi ya kiingereza cha kuunga unga......'ananchekesha'

we bado m2mwa umeona kiingereza ndo dili,,haya andika ww kama unakijua hicho kimombo,,
 
mwana fa ni snitch tu ameiua east coast team amepewa cheo cha ukurugenzi wa kampuni ya wasanii wa clouds na sasa anaambiwa na ruge apambane na wasanii wanaharakati na hatoweza huyu jamaa anategemea elimu yake na sio mziki so anatumia nafasi hiyo kuwakandamiza wenzake wafe njaa how come msanii ulipwe laki 1. Wasanii wataendelea kukodi magari ya shouting hadi lini ni muda wa kuwakomboa wasanii sasa 26/11 ustawi wa jamii bamaga
 
Back
Top Bottom