Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Stop that negative energy bro, think positively and God will be with you in your success!!Hiyo bid inamaanisha Simba hatoboi..., Na pesa 💰 za mama ziko salama.
Uko sahihi Sana SanaShilingi 571 billion ni matumizi yasiyokuwa na tija.
Ripoti ya CAG mwaka 2023/2024
Watanzania tuna bahati mbaya sana, squad la Simba wageni watupu wanaenda kukomba kodi zetu ambazo zingesaidia matibabu ya wasiojiweza!Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30.
"Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na kuhusu ahadi ya nini kama serikali tutafanya endapo Simba atabeba ubingwa itatangazwa baada ya mchezo huu."
Mwana FA amesema "ukatilli" wao (Simba SC) ndio utajiri wao katika mechi hiyo ya fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Kiongozi huyo ambaye ameambatana na timu alisema amewaeleza wachezaji umuhimu wa mechi hiyo na 'kiu' ya Watanzania katika kulihitaji kombe hilo.
It's better that money is lost in building respect to our country, 571bn hata laki mojamoja Kwa kila mtanzania haitoshi. Wacha ipeperushe bendera!Shilingi 571 billion ni matumizi yasiyokuwa na tija.
Ripoti ya CAG mwaka 2023/2024
Kuna watanzania wengi Tu kwenye kikosi, Mohamed Hussein,shomari kapime, kibu, Abdullazack Hamza, kina Barua, Awesu, kagoma, Mzamiru, zaidi ya nusu kwenye kikosi ni watanzania.Watanzania tuna bahati mbaya sana, squad la Simba wageni watupu wanaenda kukomba kodi zetu ambazo zingesaidia matibabu ya wasiojiweza!
Bongo bahati mbaya!
Toa ushahidi bro!! Otherwise, unaongea ongea unachowaza kama mjinga mmoja hiviMwana FA na wenzake wameshajipigia pesa za ukarabati uwanja 🔥
Toa ushahidi bro!! Otherwise, unaongea ongea unachowaza kama mjinga mmoja hiviMwana FA na wenzake wameshajipigia pesa za ukarabati uwanja 🔥
Pesa zipo tuHii nchi ina pesa, anayesema hamna pesa ni muongo.
N ukarabati gn huo mwaka umepita sasa haujakamilika?Toa ushahidi bro!! Otherwise, unaongea ongea unachowaza kama mjinga mmoja hivi
Vyoo na majukwaa havijakamilika?N ukarabati gn huo mwaka umepita sasa haujakamilika?
Watangaze mapema kabla madalali hawajafanya yaoNaibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30.
"Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na kuhusu ahadi ya nini kama serikali tutafanya endapo Simba atabeba ubingwa itatangazwa baada ya mchezo huu."
Mwana FA amesema "ukatilli" wao (Simba SC) ndio utajiri wao katika mechi hiyo ya fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Kiongozi huyo ambaye ameambatana na timu alisema amewaeleza wachezaji umuhimu wa mechi hiyo na 'kiu' ya Watanzania katika kulihitaji kombe hilo.
This is fact not negativity bro.Stop that negative energy bro, think positively and God will be with you in your success!!