Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu umeyasikia malalamiko ya Yanga huko...Siasa zimeiharibu sana Tanzania. Tumekuwa watu wa maneno mengi ila uwajibikaji ni zero.
Ni janja janja zao tu na siasa za mpiraMkuu umeyasikia malalamiko ya Yanga huko...
Utoto mwingi sanaNo janja janja zao tu na siasa za mpira
aliyegundua siasa katuletea balaa sanaSiasa zimeiharibu sana Tanzania. Tumekuwa watu wa maneno mengi ila uwajibikaji ni zero.
Yeah!...kwa Mkapa ndio hadhi ya fainaliKwa nini kulazimisha kuchezea Taifa. Au kwasababu ndiko wanapologea.
Huko kachezeni kombe la muunganoWangeipeleka Amani Zanzibar. Pitch ya kwa Mkapa bado haipo vizuri
Watajua wenyewe
Kiburi hicho😆Watajua wenyewe
WAMEKUSIKIAWangeipeleka Amani Zanzibar. Pitch ya kwa Mkapa bado haipo vizuri
ETI EEHuko kachezeni kombe la muungano