ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
MWANA FT. PROFESSOR JAY.
SONG. JUKUMU LETU.
VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY)
Professor jay:
Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /..
Mwana Fa:
Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini?
Professor jay:
Serikali imejitahidi kuweza kulitia mkazo/ na ndio maana inasisitiza ni lazima kuchangia mawazo/
Mwana Fa:
Tambua mawazo yako ni nguzo ya Maendeleo/ piga vita umasikini kwa faida ya kesho na leo/
Professor jay.
Kazi ya kuji kwamua ni jukumu letu wenyewe / Yaani tupige vita umasikini mimi na wewe/
Mwana Fa:
Si inafahamika Serikali ni kwaajili ya wananchi...!!/ na sisi ndio wananchi lazima tuijenge nchi..
CHORUS. MWANA FA & PROFESOR JAY.
Mwana Fa.
Ni jukumu letu/
Professor jay.
Wananchi wote wewe na mimi /
Mwana fa.
Na maoni yetu/
Yawezayo kupunguza Umasikini/
Professor jay.
Kwa Taifa letu
Mwana fa.
Hivyo inatupasa kuwa makini ni jinsi gani tutaweza kuongeza kipato nchini ..
× 2
VERSE. 2 (MWANA FA & PROFESOR JAY)
Mwana fa:
Wangapi wanashindwa shule kwa vile wanakosa karo/ ama hata waki umwa uwezo wa matibabu kero/ kina mama wanapo fuata maji kilometa kadhaa/ mavuno yanapo pungua kwa vile hakuna mbolea/ ..
Professor jay:
Ni machache kati ya mengi kero zinahitaji maoni serikali inahitaji kumbiwa ifanyaje mnadhani/
Mwana fa.
Kwa miaka kadhaa iliyopita juhudi zimefanyika / unahitaji kusema uonavyo nini kimebadirika /..
Professor jay.
Nini kinakukera ofa hii jinsi unavyoishi / nini kiongezeke kunako mkakati hakitoshi/
Mwana fa.
Upendi kuishi uishivyo /
Professor jay.
Unataka ibadirike /
Mwana fa.
Ki vip..?
Professor jay.
Unataka iweje
Mwana fa.
Ili umasikini uondoke.../
Professor jay..
Maoni yako yapelekwe kwa Tume nini kifanyike ../
Mwana fa.
Huu ni Uhuru wa kuchangua uishi vipi..? Usi utupe
Professor jay.
Yeah..
Mwana fa.
Uhitaji sempo ishalipiwa ili kuongeza urahisi andika tu unaona vipi? Tuma kwa makamu wa Rais
CHORUS. (MWANA FA & PROFESOR JAY.
Mwana Fa.
Ni jukumu letu/
Professor jay.
Wananchi wote wewe na mimi /
Mwana fa.
Na maoni yetu/
Yawezayo kupunguza Umasikini/
Professor jay.
Kwa Taifa letu
Mwana fa
Hivyo inatupasa kuwa makini ni jinsi gani tutaweza kuongeza kipato nchini
× 2
VERSE .3 (MWANA FA & PROFESOR JAY)
Mwana fa.
Matatizo yapo mengi ni vipi tutayatatua /
Tupe maoni yako ni vipi uchumi utakua/
Professor jay.
Ni fursa maalumu kwa wote wakwe kwa waume /
Nyaza za Maendeleo pamoja tusisukume /
Mwana fa .
Sauti yako ni muhimu /
Professor jay.
Uwe masikini sana
Mwana fa.
Mzee
Professor jay.
Mlemavu
Mwana fa.
Mtoto
Professor jay.
hata kijana /
Na ndio maana Serikali leo ina wahalika nyinyi wote mlio wazima na wenye virusi vya Ukimwi/
Mwana fa .
Katika kila mkoa zimetengwa wilaya mbili/ ili wote mshiriki hili suala kulijadili/
Professor jay.
Katika kila wilaya zimetengwa vijiji vinne / zipo sababu nyingi tuambie zipi zingine..
Mwana fa.
Umasikini vitu kuu /
Yatupasa tuipigane /
Professor jay.
Tuma maoni Yako /
Ili zote tu ungane /
Ni nafasi kwako ujenge sura ya sera ya Taifa / kwani Umoja ni nguvu na ushindi ni Maarifa...
CHORUS. (MWANA FA & PROFESOR JAY

Outro.
Yeah...!!
ndani ya sounds grafters
Professor jay/ mwana Fa
Napiga Vita umasikini
Tumeelewana..
Yeah..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202