Mwana FA kanizidi maarifa na wazo langu la kutengeneza body spray

Wanakula kimya kimya. Hii biashara ya perfume naona hata chibu haitilii mkazo nadhani siyo biashara nzuri kwa Tz maana wanapenda majina ya bidhaa za nje
umeoongea vyema mkuu, tatizo biashara za wabongo wengi mwanzoni huwa zinapambwa sana kuliko uhalisia wenyewe mtu hata haangalii nguvu ya soko ila tu anataka apate sifa kwa wapiga kelele wa mitandaoni ambao asilimia kubwa hawawezi hata kukuunga mkono kwenye biashara yako
 
Kweli mkuu ngoja tuone maana wanaeza sema tuna roho mbaya ila hizi biashara za perfume labda lakini wote waliojaribu wamefail kuanzia wema hadi diamond
 
Kweli mkuu ngoja tuone maana wanaeza sema tuna roho mbaya ila hizi biashara za perfume labda lakini wote waliojaribu wamefail kuanzia wema hadi diamond
Mifano ni mingi mkuu ngoja tunyamaze wasije kusema sisi ni "timu roho mbaya"
 
Wanakula kimya kimya. Hii biashara ya perfume naona hata chibu haitilii mkazo nadhani siyo biashara nzuri kwa Tz maana wanapenda majina ya bidhaa za nje
ukitaka kuwin usiiweke bayana kama ni product yako tena local,iache izunguke sokon kimya kimya au inadi km ni product from italy
 
Ile Chibu Perfume inaendeleaje? Ishafika soko la kimataifa?
 
ukitaka kuwin usiiweke bayana kama ni product yako tena local,iache izunguke sokon kimya kimya au inadi km ni product from italy
Kabisa mkuu wabongo watanunua kama usiposema kuwa ni ya kwako lakini ukisema ni ya kwakio watanunua kwa mihemko siku za mwanzo then kwisha
 
Hivi vifupi vingine vinaweza kuiharibu brand yako ikaonekana ya hovyo kabisa... Mpinzani wako akiamua kukuharibia anaweza kuleta ile tafsiri ya wamarekani Fuvk You Nigger( FYN)
 
ndo maana wanasema ukiwa na wazo usilale kimbizana chelewa chelewa utakuta mwana si wako.

ila bado hujachelewa jipange na mbinu za ushindani
 
Wanakula kimya kimya. Hii biashara ya perfume naona hata chibu haitilii mkazo nadhani siyo biashara nzuri kwa Tz maana wanapenda majina ya bidhaa za nje
Hata mie nahisi jamaa washapata mpunga wao ila hawataki kuweka wazi maana wazee wa kazi na machawa wanaweza wakazitolea macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…