Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Unajua nn, mim ni mtu mzima nashukuru Mungu nimebatika kwenda shule. I kno how to join the dots and analyse things in a logical way. So huwa sikurupuki kuhukumu mtu bila kuangalia pande zote mbili mostly.Mwambie huyo![emoji57]
Ule mziki ni utunzi ktk kufikisha ujumbe kwani kina wolper wanavyoekti wanajiuza makahaba ndo kweli??!!ni kutoa burudani tu sio maisha halisi au mnasemaje waungwana nawatega?!!
Vipi hayupo tena badoTaarifa zilizopo ni kwamba Mwana FA leo anachukua jiko. Hongera sana Hamis tunaomba utoe nyimbo nyingine sasa ya kusema umeshaoa no bado nipo nipo no more.
View attachment 353980
View attachment 353981
View attachment 353982
Zitto ameoa lini?Chama letu la mabachelor linapungua alianxa dully akaja zitto sasa fa bado akina naniliu
Aaah sio wote bana. Ila ni vizuri kama kaoa mzazi mwenzie ili mtoto apate malezi mema ya both parents.Kaoa mzazi mwenzie, wana mtoto mkubwa tu. Kafanya la maana kuliko wengi humu mnajua kutia mimba tu na kutelekeza.
Kesho mkisikia mtoto kawa celebrity ndio mnajitokeza.
Kama nimekusoma vizuri umeandika kwamba huwa hukurupuki bila kuangalia pande zote mbili....Unajua nn, mim ni mtu mzima nashukuru Mungu nimebatika kwenda shule. I kno how to join the dots and analyse things in a logical way. So huwa sikurupuki kuhukumu mtu bila kuangalia pande zote mbili mostly.
Yule bwana....kuna kitu kikubwa in this entertainment industry ana target na for sure atakipata. Just watch him closely.
Sinaga muda kufatilia issue za ki familia za mtu. Ila kwa kumfatilia instagram nimenote huyo Ex wake Le Mutuz by any how atakua boyaaa sanaaaa na anajuta huko aliko ku divorce na msela. Mtu huwez kuweka facts straight vile in public then uniambie William ana danganya....NO WAY !! That woman definitely is the problem nd too bad the dude has already moved on.
Sawa msomi.Kama nimekusoma vizuri umeandika kwamba huwa hukurupuki bila kuangalia pande zote mbili....
Well umeandika kwamba huwa unasoma huko kwenye vijiwe vyenu vya Insta na unajiridhisha Le Mutuz yuko sahihi na mtalaka wake ndio tatizo!!!.......
Hapa naona kuna gap kubwa tu, hujatueleza ni lini na ni wapi uliwahi kumsikiliza Neema Ngwilulupi? Labda nikusaidie jina lake kama hulijui, pia ningependa nikuulize unamfahamu Neema? Unafahamu anafanyakazi wapi? Je kazi yake inamruhusu kubehave kama huyo role model wako kwenye social network? Ni kweli wewe umekwenda shule au ulipita shule!? Mbona reasoning yako ni poor kabisa!?
Hatuna utamaduni wa kukimbia mijadala hapa JF, umejinasibu kwamba umefatilia pande zote mbili yani maelezo ya William ukayaamini na umeona yote ni kweli tupu.....Sawa msomi.
Nimesema based on facts alizokua akitoa jamaa its very clear wa upande wa pili atakua na tatzo.
This topic was closed though, istoshe sina muda.
No, nilikuwa nampa ufafanuzi mkuu babu M kuhusu suala la hizo 2bill.So unataka kusema demu kakubali kuolewa kwa kuwa kuna 2bn inakaribia mlangon
Hatuna utamaduni wa kukimbia mijadala hapa JF, umejinasibu kwamba umefatilia pande zote mbili yani maelezo ya William ukayaamini na umeona yote ni kweli tupu.....
Sasa swali langu liko palepale umeshawahi kumsikiliza Neema? Au unavyodhani Neema ni wakuja kwenye Insta page ya William na kuanza kubehave kama Mange Kimambi au Mbuta Nanga? Je unajuwa Neema anafanyakazi taasisi gani?
Hivi kwa akili yako na ya Le Mutuz waliokaa kimya hawana matatizo ya kifamilia kwenye nyumba zao?
Ni kwa nini ajifunzi hata busara kwa dada yake Dr Mwele Malecela mbona ana mastress ya mapenzi lakini anamantain low profile?
Wewe ni mwepesi wa kusahau nimepinga humu muda mrefu Neema Ngwilulupi kupewa kazi Marekani kwenye Tanzania mission wakati hana sifa kwa mgongo wa mzee Malecela, leo iweje niwe na undugu na mtu ambaye najuwa amebebwa tu kupewa ajila Marekani wakati wapo wengine wameachwa kisa yeye mkwe wa Malecela!?