Mwana FA kavuta jiko

Hao unaowafamu wewe ni uwezo tu wa kipesa unawagomba, take it from me mimi siishi sayari ya mars.
Pia si wote, wapo walio na uwezo kwa vile wanauelewa uislam hawafanyi hivyo. Mi nadhani ni matakwa ya kundi binafsi au muhusika. Huishi sayari ya mars sawa ina maana hata hao wasiofanya japo uwezo wanao pia huwaoni?tusifanye mjumuisho au ndio kwenye kila msafara wa mamba kenge nao wamo?

Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
 
AY kama ni kweli yasemwayo ajindae na yaliyomkuta yuleee mtoto wa aliyekuwa waziri ambaye mtalaka wake kaolewa te na juzi kati hapa.
Akasilimu na kuitwa Abdulkareem...

Jery slaa kachutama pale!
Kwani Menina nae ni MKOBOAJI?
 
Naona Le mutuz na Neema wote hovyo. Personal issues should always be personal. Wote Pumba. Ready to be criticized...
 
Kwa hiyo sasa amemuumba mwenyewe mwanamke wa kuoa? Ama yeye anajua nani kalala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi ilhali si yeye?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ujanja ukizidi sana mwisho unakuwa mshamba hakuyajua hayo kbla ya kuimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…