Mwana FA: Mungu ndo alitaka jongoo kugeuka nyoka

Mwana FA: Mungu ndo alitaka jongoo kugeuka nyoka

Burkinabe

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
2,354
Reaction score
4,024
Wanajukwaa Asalam Aleykum.

Mwenzenu sijambo, japo kuna jambo bado linanitatiza.

Bado natafakari ujumbe uliosheheni kwenye mashairi aliyoimba Naibu waziri wa Michezo leo.

Kati ya mashairi hayo ni pamoja na lile linalosema, "Mungu ndiye aliyetaka jongoo kugeuka kuwa nyoka".

Sasa hapa bado namtafakari huyo jongoo aliyegeuka nyoka, hapa Mheshimiwa alitaka kusemaje?!

Anyway, naishia hapo nisiwachoshe.
 
Jongoo ana miguu mingi lakini mwendo wake ni wataratibu sana na inasemekana hana macho.

Nyoka, hana miguu ila mwendo wake ni wa haraka na anaona sana hata gizani.
 
Back
Top Bottom