Jana mwana fa na show yake haikufanya vizuri kama ilivyokuwa kwa jide,jide kafunika aiseeh,parking haikutosha watu mpaka nje wamesimama ilimradi tu wampe support anaconda,kwa kweli imeleta sana faraja,huyu dada anakubalika sana na jana imethibitika hivyo,mwana fa bado sana kufikia level za jide,jana ulipata joto hasira haukunoga kabisaa,kitu kwa jide parking mpaka kule AIRTEL yaani huyu dada mwacheni tu kama alivyo mtaangaika sana aiseeh,sasa apa sijui kati ya FA na JIDE nani akabidhi kijiti??