Mwana fa na jide,nani akabidhi.kijiti??

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Jana mwana fa na show yake haikufanya vizuri kama ilivyokuwa kwa jide,jide kafunika aiseeh,parking haikutosha watu mpaka nje wamesimama ilimradi tu wampe support anaconda,kwa kweli imeleta sana faraja,huyu dada anakubalika sana na jana imethibitika hivyo,mwana fa bado sana kufikia level za jide,jana ulipata joto hasira haukunoga kabisaa,kitu kwa jide parking mpaka kule AIRTEL yaani huyu dada mwacheni tu kama alivyo mtaangaika sana aiseeh,sasa apa sijui kati ya FA na JIDE nani akabidhi kijiti??
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371279223979.jpg
    48.8 KB · Views: 419
  • uploadfromtaptalk1371279243674.jpg
    86.8 KB · Views: 400
  • uploadfromtaptalk1371279264446.jpg
    51.7 KB · Views: 382
mwana fa bado sana kwa jide, ukiangalia mwana fa nyimbo nyingi nzuri ni za kushirikishana kama habari ndo hiyo, alikufa kwa ngoma, msiache kuongea na nangoja ageuke, nyimbo alizosimama mwenyewe kali ni chache sana sasa jide ni next level,kibaya zaidi juma nature alikuwa upande wa jide na nature ndo kipenzi cha mashabiki
 
mi naona makonda na wapigadebe ndo walijazana.Hata ivyo sishangai kiingilio hata mwanafunzi anaweza.KITU MWANAFA kitu classic!
 
Nasikia The Finest mlipunguza mpaka elfu tano kiingilio
 
mi naona makonda na wapigadebe ndo walijazana.Hata ivyo sishangai kiingilio hata mwanafunzi anaweza.KITU MWANAFA kitu classic!

"THE FINEST" My foot! Mlikuwa kama mko kwenye semina elekezi,hapana chezea JIDE,kajipangeni upya.Mtasubiri sana kwa ANACONDA!
 
Wakikosa cha kujitetea kuhusu kudorora kwa show yao ndio hukimbilia maneno haya. Kwa taarifa yako hao makonda na wapiga debe ndio wasikilizaji wakubwa wa bongo flava, hao unawaita "classic" wanasikiliza kina Whiz Khalifa, Rick Ross etc. Jipange!
 
U have nailed it Mkuu!
 
"THE FINEST" My foot! Mlikuwa kama mko kwenye semina elekezi,hapana chezea JIDE,kajipangeni upya.Mtasubiri sana kwa ANACONDA!

wakajipange kabisaaaaaaa,bado saaan kwa,jide
 
Fatuma anatamani iwe kama zamani kipindi wanaimba wote na jide
 
mi naona makonda na wapigadebe ndo walijazana.Hata ivyo sishangai kiingilio hata mwanafunzi anaweza.KITU MWANAFA kitu classic!

Pole sana mwana FA,najua roho inakuuma sana.
 
FA alifunikwa
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371300052408.jpg
    63.8 KB · Views: 183
mi naona makonda na wapigadebe ndo walijazana.Hata ivyo sishangai kiingilio hata mwanafunzi anaweza.KITU MWANAFA kitu classic!
Utakuwa umetumwa co bure....teh teh teh..nacheka kibosss
 
mi naona makonda na wapigadebe ndo walijazana.Hata ivyo sishangai kiingilio hata mwanafunzi anaweza.KITU MWANAFA kitu classic!
......MMMH hapo ndo watanzania tunaharibu...umachinoo wa kishamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…