Mwana fa na jide,nani akabidhi.kijiti??

Sasa ndio nimeuelewa wimbo wa mwanafatuma KAMA ZAMANI.Anatamani urafiki wake na jide urudi kama zamani
 
ningekuwa mimi ndio fa,kupooza joto hasira ningerudi tena shule kuongeza master nyingine ya finance.lol
 
tehaheee tehe unajua namcheka nini usilulize ni yele mwana fatuma kama binti ana jiita Fina east siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…