Pre GE2025 Mwana FA na wana Muheza wamzawadia Rais Samia Ng'ombe 10 na vifurushi vya Hiriki, Mdarasini, Pilipili Manga kwa ajili ya kuogea

Pre GE2025 Mwana FA na wana Muheza wamzawadia Rais Samia Ng'ombe 10 na vifurushi vya Hiriki, Mdarasini, Pilipili Manga kwa ajili ya kuogea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Huko Tanga ni mashindano tu yakutoa zawadi kwa Rais Samia

==

Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, pamoja na wananchi wa Muheza, wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan Ng’ombe 10 pamoja na vifurushi vya viungo vya asili vya hiriki, mdarasini na pilipili manga.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Zawadi hizo zimetolewa kama ishara ya heshima na shukrani kwa mchango wa Rais Samia katika maendeleo ya Muheza kwa ujumla.
 
FA mitano tena, huyu jamaa lazima atarudi Bungeni tuu, na safari hii atatoka kivulini kuwa waziri kamili
 
Wananchi wanamzawadia ni wakati nayeye awazawadie Wananchi Katiba Mpya na Tume HURU ya Uchaguzi.
 
Back
Top Bottom