Mwana FA: Sina mpango wa kufanya kazi tena na Lady Jay Dee

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Rapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee.
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na lady jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao
 
JayDee kampata rasta sasa hivi hata nje hatoki. Unajua kwanini wadada wakizungu wanawapendaga marasta? Muulize JayDee.
 
MwanaFA yupo sahihi,huwezi kufanyakazi na aliyekudhalilisha kwani hujui anafikiria nini tena kichwani kwake
 
sijui walipishana wapi kimaslahi lakin walikuwa mabest wakubwa tu
Ruge Mutahaba aliweka mbegu ya chuki kati yao.
Wakati JD katangaza miezi mitatu tamasha lake, wiki MOJA kabla ya tamasha Ruge akamwandalia Mwana FA tamasha ili kumuharibia JD matokeo yake kwa mwana fa wakaenda watu 6tu jide akajaza ukumbi
 
Mnh haya bwana watajua wenyewe, ila sisi tunataka muziki
 
Ruge Mutahaba aliweka mbegu ya chuki kati yao.
Wakati JD katangaza miezi mitatu tamasha lake, wiki MOJA kabla ya tamasha Ruge akamwandalia Mwana FA tamasha ili kumuharibia JD matokeo yake kwa mwana fa wakaenda watu 6tu jide akajaza ukumbi
Mpaka leo mwanafa amebaki.na kinyongo.....

Mwanaume gani yupo hivyo...
 
Nilidhani jamaa kupita shule kumemsaidia, kumbe sivyo. Pengine Jaydee alisema vitu vilivyomuumiza sana kiasi anashindwa kuzuia hisia zake kwenye mitego kama aliyoingizwa hapo.
 
Nilidhani jamaa kupita shule kumemsaidia, kumbe sivyo. Pengine Jaydee alisema vitu vilivyomuumiza sana kiasi anashindwa kuzuia hisia zake kwenye mitego kama aliyoingizwa hapo.
Kwani kuna ulazima wa kufanya tens Kazi pamoja?
Sijaona alipokosea means fa watu mnamshambulia
 
Kwani kuna ulazima wa kufanya tens Kazi pamoja?
Sijaona alipokosea means fa watu mnamshambulia

Hakuna ulazima wa kufanya kazi pamoja, ila kulikuwa na umuhimu wa yeye kupuuzia kuzungumzia hiyo issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…