Mwana FA Vs Late Ngwear yupi mkali, au alikuwa mkali?

Mwana FA Vs Late Ngwear yupi mkali, au alikuwa mkali?

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Bila porojo nyingi, nani alikuwa mkali katika sekta ya bongo fleva, najua mwana FA aliingia kitambo kwa game.
 
Ngwea angekuwepo mpaka leo basi angekuwa ni Chid Benz aliyechangamka
 
Mtu anaweza kurap.Anaimba melodies kali.Anaweza kufreestyle hata nusu saa.Akikaa kwenye chorus ni noma na nusu.Ukimpa featuring lazima akufunike.Ni hitmaker.Ana album ya 2003 ambayo mpaka leo ni kali.

Ngwea hafananishiki kifupi.The fella was so much talented.Rest in Peace Albert.Huku siku hizi kuna makelele yanaitwa amapiano
 
Hahaa T.I.D huwa anazingua kinoma.
 
Acha kulinganisha wafu na waliohai ni kudhiaki utukufu wa mungu
 
Ingawa ni kawaida marehemu kusifiwa, lakini kiukweli Ngwair alikuwa mkali sana.

Sema tatizo alikuwa na uselamavi mwingi sana, na ndio uliomponza.
 
Ngwea Mla Ngada ni makosa Makubwa Kumfananisha na Mtu Mwenye Akili zake timamu Mwana FA....!
 
Tafuta ngoma walizofanya pamoja ndio utajua nani mkali
 
FA ngoja alikuwa mpaka abust

Na zile freestyl hat kweny mpira wapo ila uwanjani wakawaida
 
Mwana FA ni mwandishi mzuri, ila nyimbo zake zinaboa.

Mangwear habari nyingine.
 
Bila porojo nyingi, nani alikuwa mkali katika sekta ya bongo fleva, najua mwana FA aliingia kitambo kwa game.
Hauko serious Bro!
Kweli Ngwair na Mheshimiwa ni match up kweli??mnamkosea heshima sana Marehemu nyie viumbe
 
Mwanafalsafa huyo jamaa akili nyingi mno toka kitambo yuke ahead of time ukiskiliza mashairi yake utaelewa jamaa ni great thinker...

Ngwair muhuni mshehereshaji kweli kweli great entertainer ngwair huchoki kumsikiliza ila FA anakata mood samtym....
 
Back
Top Bottom