mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Hahaa T.I.D huwa anazingua kinoma.Mtu anaweza kurap.Anaimba melodies kali.Anaweza kufreestyle hata nusu saa.Akikaa kwenye chorus ni noma na nusu.Ukimpa featuring lazima akufunike.Ni hitmaker.Ana album ya 2003 ambayo mpaka leo ni kali.
Ngwea hafananishiki kifupi.The fella was so much talented.Rest in Peace Albert.Huku siku hizi kuna makelele yanaitwa amapiano
Hahaa T.I.D huwa anazingua kinoma. View attachment 2083093
Hauko serious Bro!Bila porojo nyingi, nani alikuwa mkali katika sekta ya bongo fleva, najua mwana FA aliingia kitambo kwa game.