Mwana FA: Wachambuzi wa Soka kupelekwa kozi ili kukidhi vigezo kukaa kwenye vyombo vya Habari kuchambua

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa kanuni za michezo kama zinavyotaka.

Hayo yameelezwa tarehe 05 Februari, 2025 bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi.

Shangazi ametaka kujua iwapo serikali ipo tayari kuwapa wachambuzi mafunzo mahsusi kwa sababu kumekuwa na changamoto ya kupotosha habari za michezo nchini.

KOZI ikiisha "Baba, Baba Baba", "tumshukuru baba kwa matokeo ya Simba", " bila Baba wasingefika hapa", "Hii taifa stazi bila Baba.."

Nazingua wasiojulikana tusitafutane
 
Back
Top Bottom