utu uzima dawa.. au ulitaka aanze kucheza viduku na salama jabir jombiiii..Leo katika kipindi cha Mkasi cha Salama katika TV ya EATV walikua wakiwahoji huyo pamoja na KBC ambao walikua wakiimba hip hop zaman katika kundi la KU CREW lakn kwa jinsi nlivyomuona EASY B sio yule ambae alikua mtaalam wa michano zaman maana amepooza na pia amekua kama kadevera flani hivi. Enzi zake alikua mchangamfu na machachari ukimkuta pale empire anapiga shoo balaa au viwanja vya don bosco. Pia alikua ni mmoja wa watoto wa kidosi sasa sijui kafikwa na nini.
Yep mkuu enzi hizo ngada ni za ukweli na bei yake ni expensive sio hizi za sasa kutengeneza na maji ya betriKwamba yuko hai ni jambo la kushukuru
huyu unga enzi hizi TID yuko vidudu..
sasa kama yuko hai na ana akili timam basi we shukuru