Mwana Hiphop kutoka NYC afariki kwa kupigwa risasi za kutosha

Maalim unanipa buradani sana humu jamvini na post zako juu ya hawa vijana. Teh teh teh

Tuko pamoja sana akhui ktk kusambaza Daawa kwa Hawa Kondoo waliopotea.
Mwaka huu Inshallah Tutapunguza vifo vya nguruwe japo kiduchu.


Watu wazima wanamsifu mtu anaevaa Suruali km pampers.

Ajeeb!!
Hawa tunawaita Monkey boys.
Hip na hop all day.
Miziki yao ni Kutukana mama zao tu.
 

Waarabu washakuharibu, we endelea kuvaa msuli upigwe na hewa vizuri.
 
Waarabu washakuharibu, we endelea kuvaa msuli upigwe na hewa vizuri.

Teh teh teh.
Bibie sisi Watu wa pwani bila msuli siku haijapita.
Sasa we kuchambia makaratasi unaona ujanja sio?
Bila Mwarabu we pilau na Biriani ungeijua wapi?
Waefeso mmekula Mihogo mikavu toka enzi ya Nuhu. Matokeo yake mtoto mdogo km wewe unakuwa umekakamaa km umepigwa radi.

Leo mnanenepa na Kupendeza Yote shauri ya Mapochopocho walio wafunza Waislamu halafu shukurani zenu ni kuja hapa Kutuharia.

Wabaya sana nyie wakolosai.
 

NonChalant...! SHE' WAS ON FIRE bruh bruh bruh
 

Usilo lijua ni sawa na usiku wa kiza,kutukana imani ya mtu ili yako uipe uhalali aikufanyi wewe uwe binadamu bora zaidi kuliko mwingine.Misingi ya imani na haki za binadamu ni vyema kuheshimiwa na watu wote
 
Wacha wafe tu.
Hawa ndio wachafuzi wa Jamii kwa kasi sana.
Hawana faida yyt.


Unaonaje ungewaua hawa wa hapa Bongo au huwaoni!? au hauna zana!? mimi naweza kukusaidia kupata zana yaani bunduki na mabomu ya kujilipua!

Unaenda kwenye shows kubwa kama Fiesta kisha unajilipua kwenye kundi la wachafuzi!
 
Duh watu wanaleta udini mpka jukwaa hili la burudani
 

Non-Chalant umenikumbusha kitambo sana mkuu nyabhingi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…