Mwana jamii forums mwenzetu;HR 666 ajiunga rasmi Chadema.

Kwa mujibu wake anadai kuwa CCM alikuwa pale kwa sababu tu ya ulaji

Ila kwa sasa ana nia ya dhati ya kuwasaidia wananchi kwa hiyo kaona aende chadema.
kajiunga kimawazo au amesajiliwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…