Mwana JamiiForum Okwi Boban Sunzu ni Shujaa na klabu yetu ya Simba

Mwana JamiiForum Okwi Boban Sunzu ni Shujaa na klabu yetu ya Simba

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na bado ameendelea kuwa stable. Na ule uzi umempa heshima ya kuthaminika tofauti na wakosoaji wake wanavyodhani.

Heko ndugu yangu OKW BOBAN SUNZU simba nguvu moja.
 
Salama lakini..?
Screenshot_20240528-180042.png
 
Moderators unganisheni huu uzi wa huyu mwehu na ule wa mwehu mwenzie mwasibu wa hovyo ever...yan siwafichi yanga itawapiga mpaka barabara ya vumbi mvushwe na vitoto vya nursery...Hersi tunaomjua ni kichwa...first class ya DIT na exposure kibao...
 
Mashoqer mnaongezeka huko ukoloni...
 
Back
Top Bottom