Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na bado ameendelea kuwa stable. Na ule uzi umempa heshima ya kuthaminika tofauti na wakosoaji wake wanavyodhani.
Moderators unganisheni huu uzi wa huyu mwehu na ule wa mwehu mwenzie mwasibu wa hovyo ever...yan siwafichi yanga itawapiga mpaka barabara ya vumbi mvushwe na vitoto vya nursery...Hersi tunaomjua ni kichwa...first class ya DIT na exposure kibao...