TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Na mm nahis alifanya madhira haya kwa huyu mama...! Maana ni siku chache toka awasiliane na ss...rip...!
Niliwasiliana nae pia early January akawa anasema anaendelea vizuri tu ananiuliza progress za issue yake ya kazi, then nikamtafuta February hakuwa hewani so I was like akipatikana nitamcheki, later nikapata info kuwa simu yake imefungwa na tcra, nikajiambia kuwa will find him issues zikiwa fine, today nasoma amezikwa dah!
Nimehakikisha hizi taarifa kwa wazazi wake pamoja na wadau wote tulowasiliana kwa hii issue wamesikitishwa na uamuzi but hakuna namna Robin mwenda zake keshazikwa.
Wazazi wake wanatoa shukrani kwa wote waliomjali kijana wao.
Bado naendelea na mawasiliano na wazazi wake kwaajili ya faraja na ombi langu nyote mloguswa na kifo chake kwa namna ya pekee Mungu awafarijni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mama mwenye mji alipojinyongea Mpauko ndiye mwenye mtoto mwenye ulemavu wa akili? Na huyo mtoto mwenye ulemavu wa akili amechangia nini kwenye tukio la jamaa kujiua? Sijaelewa ile comment ya Wangari Maathai pale juu.


Ipotezee...alilalamika kumtake carw huyu mlemavu wa akili kitu ambacho hakuambiwa kabla..kaz zikawa nyingi ..nadhan ni kawaida..ni km umseme beki 3aanze lalamika nanyanyaswa!
 
Kukata tamaa
Roho ya mauti pia ilimtawala
Watu walioweza kuextend mioyo yao hawakumuacha isipokuwa alishakuwa ameset mind kuwa jamii haimuhitaji lakini pia hatujui yalojificha moyoni mwake.
Na mm ndo nilimdirect kwako..alikua hajui.nikambaia akusearch akaja akanianbia mwenzangu ni tajiri dah ..alishakata tamaa ..nadhan familia yake imechangia dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Niwe mkweli..labda kama alikua anadanganya vingine kuwhusu wazaz wake esp mom...mm huruma yangu ni kw huyo mtoto tu ...kama ingekuwa rahisi jamani kumchukua huyu mtoto (tena wakike😍) ningejihesabu nimemzaa ..haka katoto kanasoma...itabidi ufatilie maendeleo yake...! Dili na mtoto kwanza...maana km alikua anaenda kula magengeni mm sioni huruma kwao..am sorry!

Aliwah pigwa siku moja anamuask mom mbona unanipgia na nna malaria sijala toka jana naskia maza akamburutia nje! Ah..
 
Ila tumetofautiana...mm had mtu aje pm najua ni timamu..lazima nireply aise! Tusipende kidharau mambo hata km madogo..tubu! Na badilika
Hujibu pm wewe acha hizo...
Halafu pm umefunga pia au kwa baadhi ya watu?
Kuna wakati kuna Dogo alikuwa anakutafuta sana akanicheki akawa anasisitiza wewe, so I checked you pm ikawa hakuna access though later nikaomba aseme issue yake kwangu then ikawa solved

Fungua pm buanaaa I'd zenye feki japo wengine tunajuana ila utasoma ujumbe Wa MTU utaupimia kwanza kama issue ya usalama au vibes tu utacreate energy kudili nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaleta mrejesho hapa nikishakamilisha ninalolifanya soon kuhusu hii issue.

Ubarikiwe sana kwa kujali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kujali na kuwa wema kwa kila mtu bila kujali unamfaham au la.we only live once..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenifanya na mie nicheke ujue
Kuna kale katabia mfano unaenda kwenye msiba unakuta mtu analia huku anahadithia "marehemu alikuja kwangu kunianzima nguo nikamwambia njoo kesho leo amefariki Siamini"
Unabaki kujiuliza huyu ameguswa kweli na msiba au ndio nionekane nilikuwa kwenye harakati za kutoa msaada.
 
Sorry ni maeneo ya jogoo ndumbwi?? Maana kuna mkaka alijinyonga juz juz. Hayo maelezo ni kama yale ambayo nliyaskia pale
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Pm zko ndo huwa sijibu..kun kipindi uliniuliza mishe fulan nikajipinda kuandika wee hukujibu....nikahesabia
2.unapendaga sana kuniattack jukwaa za siasa.. Uliwahi niumiza sana sana ww...nikasem nikianza gombana na mwanamke mwenzangu itakuwa sio poa...sijawah kujibu qoute yako ndo nimejibu leo!
 
Atakuwa amekuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…