TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia


Oh my this is very sad. Nimesikitika kwa kweli. Namwombea Mungu amrehemu na kuipa faraja familia yake, ndugu na jamaa wakati huu wa mshtuko na masikitiko. Amina.
 
Poleni sana mkuu.
Mungu mwenyezi awape faraja
 
poleni sana wafiwa
 
Poleni sana Mkuu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

 
Kwao na Dena Amse night Bunju A au Bunju Shule. ..

Ukifika Bunju A ulizia wapi ilipo Baa Juleva

Nyumbani kwao ni opposite na hiyo Baa.

Msiba upo hapo. . Baba yake anaitwa Mwalimu Komba

Sina details nyingine maana nipo nje ya Dar
Ubarikiwe sana kwa kutufahamisha. Ukweli moderator tuchange rambirambi kidogo wachache wakahani msiba kama atakuwa ameshazikwa.
 
Hata wewe umepotea sana, nadhani ulishahama rock city....JF nako huonekani kabisa bageshi
 
Kwenye huu uzi nimewaona watu ambao sikuwaona kwa miezi chungu nzima sasa. Wewe mwenyewe pia unaingia humu kwa nadra sana miezi hii ya karibuni. Nadhani kauli yangu iko accurate.

Hata wewe umepotea sana, nadhani ulishahama rock city....JF nako huonekani kabisa bageshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…