TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Mkuu kumbe wewe ni kundi la nadharia ile ya philosophical idealism,safi sana huwa munaamini maisha yapo baada ya kifo,ni watu wazuri sana kwakuwa muna hofu ya mungu,na kuamini katika siku ya malipo,na msingi wake ni theology.
Nimefurahi kujua maana kuna wenzetu wako kwenye lilebkundi la pili la philosophical materialism,lakini kila mwisho wa wiki unawakuta msikitini au kanisani,na hawaenendi kiimani,ni wanyama kabisa.
 
Allah Amjaalie safari ya kheri. Na Amsamehe madhambi yake. Amina. Inna lilah wainna ilayh rajiuun
 
Dena umetangulia
Kwa mola meelekea
Majonzi metuachia
Dua tunakuombeya

Mja wako mdhaifu
Karudi kwako raufu
Mpokee kwa lutufu
Dhambi kumghufiria

Mlo hai nawambiya
Nasaha kuwatoleya
Ina ghururi duniya
Yapasa kuzingatia
 
Pole sana Mulama, andiko lako limaelezea mengi
Mungu amlaze pema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…