Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Ndugu wanajamvi kama tusikitikavyo tukiondokewa na mwenzetu basi tusherekee pale mwana JF anapopata ubavu. Mwana JF mmoja aitwaye Kuberwa anatarajia kuolewa mapema mwaka huu so siku ya Arusi anataka support kutoka kwa JF members walau walioko karibu..........sasa sisi tulioko huku Kagera........masaka..........kampala.........mwanza. Tukutane tumpe support huyu great thinker hadi mumewe ajue kabisaaaa kuwa hajaoa kilaza. Kuberwa mwenyewe avatar yake hii hapa. Wanaotaka ageuke watamuona live. Nimepewa jukumu hili kama mwanakamati. Siku ya send off yake Kutakuwa na zawadi kutoka kwa JF members.
Kuberwa
Kuberwa