Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,736
Ndugu wanajamvi kama tusikitikavyo tukiondokewa na mwenzetu basi tusherekee pale mwana JF anapopata ubavu. Mwana JF mmoja aitwaye Kuberwa anatarajia kuolewa mapema mwaka huu so siku ya Arusi anataka support kutoka kwa JF members walau walioko karibu..........sasa sisi tulioko huku Kagera........masaka..........kampala.........mwanza. Tukutane tumpe support huyu great thinker hadi mumewe ajue kabisaaaa kuwa hajaoa kilaza. Kuberwa mwenyewe avatar yake hii hapa. Wanaotaka ageuke watamuona live. Nimepewa jukumu hili kama mwanakamati. Siku ya send off yake Kutakuwa na zawadi kutoka kwa JF members.

Kuberwa
 
Wakati wa zawadi Bukoba nzima itajua tu kuwa kundi la wana JF linaenda kutoa zawadi. Ila sasa baadae mtataka picha zake ......mie nitapiga za mgongo kama alivyojipiga hiyo ya kisogoni
 
Nitonye hujatulia kabisaaaa.huyu ni dada yako tena hebu tujadiliane kuusu mchango wa zawadi ya wana JF

Vitu vizuri kama hivi lazima visifiwe. Sasa vikao vimeshaanza kukaa au bado na kadi zinapatikana wapi?
 
Mwana vikao vinafanyika pale banana hotels kama ni kadi naomba uni Pm nikuelekeze pa kunipata kama uko Bukoba.......nikisema live hapa Rejao atanidaka
 
Mwana vikao vinafanyika pale banana hotels kama ni kadi naomba uni Pm nikuelekeze pa kunipata kama uko Bukoba.......nikisema live hapa Rejao atanidaka

Kwa hiyo itafanyika huko huko Bukoba na ni kwenye ukumbi maalumu au ''ombitikililwa''
 
vikao vinafanyikia wapi? omumwani au buyekera? tujuzane jamani.ninyenda akaramba waitu.
------- SONG ------
Ugambecho kibero kueke..
Ugambecho kitanda kushwele bojo. Mia
 
Kwa hiyo itafanyika huko huko Bukoba na ni kwenye ukumbi maalumu au ''ombitikililwa''

Kaka nu ukumbi maaalum "ombitikililwa" abantu mbaija kutela emibano watoto wa watu. Olateile omubano?
 
vikao vinafanyikia wapi? omumwani au buyekera? tujuzane jamani.ninyenda akaramba waitu.
------- SONG ------
Ugambecho kibero kueke..
Ugambecho kitanda kushwele bojo. Mia

Kaka mchango wako muhimu
 
mwambie aingie atafute sticky thread kuhusu kitchen party wa ashadii kwa maandalizi na kuzaa kwa mpango kama afrodenzi alivyotueleza..

kila la kheli bibie kuberwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…