Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Dada ana u-hair huyu dahhh, nimezitamanije!!!! (ila bible imekataza kutamani so naomba msamaha) hongera zako mwaya, na sie sio siku nyingi kwa neema ya Yesu tutaingia huko soon!!!Tuombeane tusipate watu-viatu
 
Hata wewe pua yako Bab kubwa. Muombe sana Mungu usije ukapata mme mnywa valeur Brandy ...hawamalizagi kabisaa
 
Endelea kutupa updates michango ni lazima
usiwe na wasiwasi mkuu.
 
Afadhali nimerudi...........nashukuru sana wana Jf........
 
Kuberwa jitokeze japokuwa uko kisikani unaandaliwa uwasalimie wadau
 
nasubiri ageuke...namtakia kila la kheri ktk safari ya maisha mapya ya mume na mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…