Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Hongera sana Kuberwa.......na hongereni sana wana Kagera kwa kufuata mfano wa Jf HQ (A-Town) na JF Wing (Dar) kwa kuwa wamoja....
Ni jambo la furaha kuona JF members wa sehemu mbali mbali wakienda zaidi ya keyboards zao.......
Na ninawahakikishia mtaweza na mtafanikisha yale yote yaliyo malengo yenu.....
Pamoja sana.....
 
hongera zake,tunamkaribisha ktk chama chetu

ndoa ndoano(NDONDO)
 

Pretta Dar ni tawi? Any how all the best Kuberwa !
 
Ukiwa na ID nyingi uwe na kumbukumbu ona sasa mia amekuwa Eiyer na alibisha ha ha ha ha umekamatika leo

dada dena umedanganya umma. kama huamini mwambie invisible aziunganishe ibaki figganigga tu kama watu hawajaandamana humu. mambo dena? buberwa anaolewa, umejiandaaje?. Mia
 

Preta nakukubali sana dada una akili sana kama umeweza kutambua kuwa ni vizuri tukawa failia moja ya ukweli
 
Hahaa egiyo ndagiteile ubwisiki bwa kulinya mbwenda ekilima nka ki

Mushana, sasa wewe unaandika lugha ya kifaransa na sisi hatujui kifaransa unafikiri tutachangiaje?
 
Nitafute mkuu nitoe mchango wangu,

Huu ni mwaka wa kudumisha ndoa na mimi ni mjumbe wa kamati ya mambo ya ndoa....

Nitajisikia faraja kutuma mchango wangu hata kama ni kuduchu...!!
 
thanks Preta kwa dua zako! hope mambo yataenda kama ilivyopangwa
 
asante mkuu, Mwenyezi akuongezee unakotoa akuongezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…