Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Hapana mkuu, hata si member hapa! hope atajiunga akiwaona wanajamii siku hiyo! kwani atafahamu its more than internet. Thanks in advance kwa udadisi!
 
nashukuru mkuu the boss, ntafurahi kukuona hiyo siku. Lol... Nikiiona hii sura lazima niinuke high table na kuja kukupa mkono aisee
 

napenda kuona jf ikiwa kitu kimoja. hapana kutugawa kikanda. jf ni jf. mia
 
dada dena umedanganya umma. kama huamini mwambie invisible aziunganishe ibaki figganigga tu kama watu hawajaandamana humu. mambo dena? buberwa anaolewa, umejiandaaje?. Mia


Ona sasa mpaka unakosea hata kuandika kwasababu umekamatika ha ha ha ha unalo hilo nishakushitukia
 
dada dena umedanganya umma. kama huamini mwambie invisible aziunganishe ibaki figganigga tu kama watu hawajaandamana humu. mambo dena? buberwa anaolewa, umejiandaaje?. Mia


Soma hapa chini....................................

Aisee mzee wa Mia umenikumbusha mbali


Ha ha ha ha nani kaulizwa hili swali??? Halafu angalia nani kajibu hapa chini??? He he hehe heeeeiiiiiyyaaaa unalo hilo

Aaah mkuu mbona nishafanya mchakato huo?Mia!
 
Mi hizo nywele tu..lov it!hongera mummy,.mtangulize Mungu katika kila jambo,.mpende,mheshimu mumeo!.
 
Kuberwa ni nkubaza nti nimwija kuchumba nebilibwa? Nyewe ombugenyi nyende ebilibwa
waitu otagila mwaga, ekiliibwa nikyo kilikwija ukola ekeki! Ogobeho oyelebese Ta nitonye onyegerege muno munonga!
 
Ona sasa mpaka unakosea hata kuandika kwasababu umekamatika ha ha ha ha unalo hilo nishakushitukia

dada dena, wewe unanisingizia bure. unanitungia uongo. kama vipi tumuunge mkono buberwa. mimi napenda kuhudhuria harusi kuliko chochote. mia
 

Bora hata mi nlikimbilia A town bana! Yaani JF Kilimanjaro wako kibao ila ndo ivo hakunaga bana wanaothubutu kujitokeza. Kwani kunani waogope hivyo? AAAaahhhhhhhhhhhhh. Asee mi ni member huko AR. Paka Jimmy wapi wewe?
 
Nitafute mkuu nitoe mchango wangu,

Huu ni mwaka wa kudumisha ndoa na mimi ni mjumbe wa kamati ya mambo ya ndoa....

Nitajisikia faraja kutuma mchango wangu hata kama ni kuduchu...!!

vizuri sana babu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…