msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
Mkuu mbona unazunguka Mbuyu? Si ungewaambia tu shida yako? Soma hapo kwenye red utanielewa zaidi...teh! teh!helooooooo,hope hamjambo kama tunavyojua jamii forum members ni sawa na ndugu,nipo arusha kikazi tangu juzi,kesho naondoka zangu kama kuna jf member wa kike yupo arusha aniPM leo tukutane jion jion hivi, mimi niko maeneo ya primier palace hapa mujini.
hahahahahah watu wazima wana tabia ya kuelewa haraka mkuu,si unaona ushaelewa mkuuMkuu mbona unazunguka Mbuyu? Si ungewaambia tu shida yako? Soma hapo kwenye red utanielewa zaidi...teh! teh!
Umegundua jambo hapo. HahahahaMkuu mbona unazunguka Mbuyu? Si ungewaambia tu shida yako? Soma hapo kwenye red utanielewa zaidi...teh! teh!
Sasa hapo kwenye red ndio umemaanisha "utakosa" au "hutakosa?"pitiaa shivazi mkuu utawakuta wakutosha au njo lala Moshi ujichukulie mmoja hapo malindi au uje kia hapa sunsite utakosa