Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
....hahahahaha..ile ipo kwa ndonga na kumoyo,mi sio Yesu ati!;Haaahaaaaa,
Bruv nifah mimi mchizi wangu.
Halafu mbona ile signature yako ya kikuda umeitoa???
AhsanteHongera.
Mnaopiga kura hapa, mtatukosesha sie wa kule jukwaa la chini, kwa maana si wote wanaofika kuleTumfahamu Mwana JF bora Mwaka huu 2016. hapa ni overall, the whole of JF.
Taja jina, mwenye nyingi Mshindi.
Unaruhusiwa jitaja.
Ahsanteni.
SawaMnaopiga kura hapa, mtatukosesha sie wa kule jukwaa la chini, kwa maana si wote wanaofika kule
CC: Evelyn Salt, a.rahabu, Ngalikihinja, Shark, grafani11 na bacha
Mi namuulizia Fundi chupi Sijamuona muda kweli.Hivi Mbuzi mzee yupo kweli?
mlandula jrTumfahamu Mwana JF bora Mwaka huu 2016. hapa ni overall, the whole of JF.
Taja jina, mwenye nyingi Mshindi.
Unaruhusiwa jitaja.
Ahsanteni.
Overall inakuwa determined by Kura. Kuna kitu kama hicho humu!Tumfahamu Mwana JF bora Mwaka huu 2016. hapa ni overall, the whole of JF.
Taja jina, mwenye nyingi Mshindi.
Unaruhusiwa jitaja.
Ahsanteni.
Hewa hapo...Chenga yaniii1. Monica
2. Miss natafuta