Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
- Thread starter
-
- #21
Hatujivungi hatujivuni, Mshana jr mbele kwa mbeleeee!πππππ
Wale wenye wimbo wenu kama nimeukosea kumradhiπ
habari mkuu
kwema mkuu tupo
Tunaenjoy mapumziko tu, stressfree
Leo mapumziko? Ya nini? Kuna sikukuu?Tunaenjoy mapumziko tu, stressfree
who is thatMzee wa kamba
Mzee wa kamba
sio siku sikukuu ni mapumziko ya kazi za serikali kumuenzi muasisi wa taifa hayati karumeLeo mapumziko? Ya nini? Kuna sikukuu?
Mshanajrwho is that
Mmh ok ok ngoja nirudi homesio siku sikukuu ni mapumziko ya kazi za serikali kumuenzi muasisi wa taifa hayati karume
Mmh ok ok ngoja nirudi home
Hahhahahaaaa [emoji144] [emoji144] [emoji86] [emoji144] [emoji14]We mshana jr acha chengaπππ, au uko upande wa pili wa bahari ambako bado wako siku moja nyumaπ±
yaani mkipitia nitafurahi sana maana mm kwa kuthread ndo mwenyewe kabisaaaaaamwee utakua famous sana hadi mshana jr anakujua? ngoja mwezi wa sita tutapitia tena may be utakuwepo
mbona jukwaa la mmu sikuonagiyaani mkipitia nitafurahi sana maana mm kwa kuthread ndo mwenyewe kabisaaaaaa
mbona sizioni hizi emoji kama zako unazipatajae hebu nioneshe plsHahhahahaaaa [emoji144] [emoji144] [emoji86] [emoji144] [emoji14]
Inategemea na simu unayotumia nadhanimbona sizioni hizi emoji kama zako unazipatajae hebu nioneshe pls
nipo sana ndugu kule natumaga sana thread kama mwezi sasa sijatuma kitu ngoja nitaanza kufanya tena usijali bestmbona jukwaa la mmu sikuonagi
nipo sana ndugu kule natumaga sana thread kama mwezi sasa sijatuma kitu ngoja nitaanza kufanya tena usijali best