Mwana JF mmoja atujengee kiwanda basi

Kumbe ndio mkuu hasa ile yenye nyuzi nyingi ukinunua vitambaaa vya majeans kama.elfu 10000 hivi wafanya kazi wakianza ndani ya mwezi wameshona majeans special mia 200 ukiyauza inapata peda yakununulia cherehani na kuwalipa mshahara
Hapo unamwita mkulu anazindua kabisa
 
Ushauri mzuri sana walahi
Ngoja tusuke Mipango tutakukumbuka walahi!
 
Viwanda vya biashara ambayo italipa bila shida ni kutengeneza bidhaa ambazo zinahitajika, mfano drip water, gauze, filling za meno, n.k.
Maono mazuri, Mola atuwezeshe walahi
 
alaf kila sikuu mtoa mada anavyowaponda upinzan..nikajua wenzetu wana kaupendeleo fulan amazing😎
Hata Kama iweje magufuli anatosha anaeleweka.napitia kipindi kigumu lakini bado kwangu motto ni ule ule hapa kazi tu
 
Hata Kama iweje magufuli anatosha anaeleweka.napitia kipindi kigumu lakini bado kwangu motto ni ule ule hapa kazi tu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pole usikate tamaa na usipende kuchagua kazi..tembelea sehem wanazojenga uombe ht kibarua.....we jichanganye huwezi kosa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…