SAFI SANA
Nyani Ngabu ana busara sana
SAFI SANA
Naona unamng'ong'a ngabuNyani Ngabu ana busara sana
Google...Nyodo ni nn
Ha hahahhaahMakapuku wana busara sana
Wakongwe wamejaa nyodo km maembe dodo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Haahaaa, how you doin bruh!
Naona unamng'ong'a ngabu
Hahahaha Been iight big homie.. Wassup
tusimsahau mzee wetu wa mitaa ya kkoo.mzee Mohamed said.
yule mzee ana busara sana.majibu yake siku zote yamejaa hekima.huwa tunamtukana sana anapo anzisha mijadala yake.
nadhani hekima ya kiutu uzima inasaidia kumuuongoza.vinginevyo humu ndani pangekuwa panachimbika.
CC Mohamed Said
Poa sana mazee.
Naona wanashangaa jinsi unavyotoa appreciation zako!
Watu wana yao... The big fella NN ni mtu poa sana.. Mnyamwezi huyu bana