Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Jibu kwanza swali pale juu,huo uzushi wako hapa si mahala pake,ID yangu ni moja tu ya kadoda11.

Kumbe na Wewe upo kama Mimi mwenye ID moja tu humu JF? Hongera sana Mkuu kwani sijui ni kwanini Watu wengine huwa wanapenda kuwa na ID's nyingi nyingi humu JF!
 
Busara
7. Heaven Sent
6.Mag3
5.MziziMkavu
4.Mchana Jr
3.Ben saa nane
2.Mchambuzi
1.Nguruvi3

Nyodo
5.
4.
3.
2.Gentamycine
1.Faiza Froxy
Ubarikiwe sana mpendwa..[emoji120] [emoji120]
 
Naona na leo tena umeamua kuja na hii ID yako huku zile zingine za Kazi tano ( 5 ) ukiwa umeziminya " kiaina ". Vipi hapo Mbezi Beach hawajambo? Pole sana kwa kuibiwa Simu kwa mara ya pili na mara ya tatu ukizubaa wataondoka sasa na hizo " Kende ".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siyo GENTAMYCIN ni GENTAMYCINE swine! Kila siku nawasema kuhusu kuliandika vibaya jina langu ( ID yangu ) lakini hamsikii. Mbona Mimi huwa siyakosei majina yenu ( ID zenu? )
Hahahaaaa sawa GENTAMYCINE katika ubora wa nyodo zako
 
madhara ya kujifunzia kiswshili ukubwani ndo hayo, anaropoka sana yule mtu
 
Kuna mmoja umemsahau,kwanza hata uraia wake haujulikani km Mbongo au mrwanda,ana nyodo hatari,cjui muimba taarab yule jamaa!jina kapuni coz nishawahi kula ban kwa ajili yake naogopa nicje chezea ban nyingine bila sbb

yule ni mwehu bin chizi chizika, ukiliambia ukweli linakimbilia kwa mods wanakupiga ban. mods nao sometimes wanakosa busara wanakupiga ban bila sababu wala maelezo...kiufupi yule ni chizi bin kichaa

#nimemind
 
madhara ya kujifunzia kiswshili ukubwani ndo hayo, anaropoka sana yule mtu

Unaweza kudhani kuwa labda unanikandia lakini kinyume chake ndiyo kwanza unanizidiashia UMAARUFU hivyo nafurahi mno kila saa unavyonijadili na kuniongelea. Kifupi ni kwamba kuanzia sasa nimekuteua Wewe kuwa " Spokesperson " wangu humu JF. Kama vipi nitafute haraka PM ili nikupe TAARIFA nyingine kisha uje uilete humu.
 
yule ni mwehu bin chizi chizika, ukiliambia ukweli linakimbilia kwa mods wanakupiga ban. mods nao sometimes wanakosa busara wanakupiga ban bila sababu wala maelezo...kiufupi yule ni chizi bin kichaa

#nimemind

Nilikupa ONYO mara ya kwanza kwamba achana na Mimi hukusikia na leo tena nakupa ONYO kali la pili kuwa achana na Mimi na mara ya tatu usije kunilaumu tafadhali. Nisalimie kwenu huko Chamanzi na kule kwa Hawara yako Mbezi Beach. Naona siku hizi umeamua kuwa MLOKOLE ili kuficha UFUSKA wako huo unaoufanya na Bosi Mume wa Mtu. Hii ni mvua tu ya rasha rasha Bibie endelea " kujaa " katika " njia " Mnyarwanda Mimi wa Kitutsi NIMALIZE BIASHARA ili TUHESHIMIANE humu. Tambua ya kuwa NAKUFAHAMU A to Z nikimaanisha upo kiganjani kwangu. NIMEMALIZA!
 
we ni mwehu tu,utanifahamia Wapi me jembe la mbeya? huko chamanzi sijui Mbezi beach unakujua wewe na ukichaa wako! kiswahili chenyewe umejifunzia ukubwani,ntakupoteza kijana...oooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…