Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Busara labda kwa sisi tunaojuana...
The same to nyodo!!
Oh, kumbe ni kwa kuandika...
Basi honor and respect goes to my blood wife!!
 
Hahahaha watu mnataka siku Ngabu aingie ligi na Mshana... Hahaha mimi nitabaki kama mtazamaji hiyo siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwenye busara wako wengi, ninaowakumbuka fasta ni hawa wafuatao:-

Mshana jr.

Heaven sent

The boss

Tized

Wengine nitawajazia majina yamepaa, hawa ukiwatukana au kuwaudhi hawarudishi au kuweka ligi nawe na ukibishana nao wanapinga kwa nguvu ya hoja na wakishindwa huwa wanakubaliana nawe.

Wenye nyodo wapo wengi ilaaa[emoji22] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
ibra87 am humbled but how about my semegi!? Kumbe wewe ni mzee wa neema za Allah [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…