Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Jabari zenu wanaJF wenzangu,
Ombi langu kwa mwanaJF mwenzetu hapa jukwaani ndugu Erythrocyte . Mkuu mbona umekuwa kimya sana tofauti na siku za nyuma, tatizo ni nini?
Hebu tuambie kamanda kama kuna mtu amekuzingua hapa JF, au home unapoishi sisi tumkanye ili kukurudishia mood yako ya kuja JF kutuhabarisha habari za Tundu Lisu kama ulivyokuwa unatuhabarisha habari zake miezi iliyopita.
Inashangaza kuona vijana wasiokuwa na taarifa za kutosha za chama wanatujuza habari za Lisu, halaf wewe mkongwe hauonekani ku comment chochote ili tujue kwamba taarifa ni za kweli au za kutunga.
Rudi Mwamba utupe taarifa moto moto kama hizo hapo pichani. Naamini ugomvi wa Mbowe na Lisu haukuhusu, hivyo una uwezo wa kuleta taarifa za Lisu na Mbowe vizuri kama ilivyokuwa kawaida yako.
Naona mara ya mwisho kupost taarifa za Lisu ilikuwa mwezi wa 9 kabla mwamba huyo hajatangaza rasmi kumkabili mwenyekiti wa chama. Sasa hatujui sababu ni nini ya wewe kuacha kuendelea kutupa taarifa za Lisu ambae ni makamu mwenyekiti halali wa Chadema.
Naukumbuka sana ule msemo wako wa "shetani hajawahi kumshinda Mungu". Hivyo katika uchaguzi mkuu huu wa chama, kati ya Lisu na Mbowe tunataka kuona nani ni wa shetani, na nani ni wa Mungu.