Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Kila mwana JF ana avatar yake lakini kiukweli kuna zingine ukiziangalia mpaka unakosa majibu.

Hivi unaweza kueleza maana ya avatar yako na kwanini uliamua kuiweka hiyo?

Mimi yangu ni kwasababu mwana usalama kazi ninayoipenda.
 
kuna hii avata ya tanesco naibofya ili nii zoom lakini wapi naona naomba za simu ila ni nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…