AwwwwwwMimi uwa napenda watoto wa kike
Maana wana muwakilisha mama yangu.
Kuna mshikaji alizipoteza series 1-5.ok poa na hizo series za kikorea
Vitruvian man by Leonardo Da Vinci one of the greatest mind to ever walk on earth..! I just like the guy!
Nataka nibadirishe sasa nimweke Fela Ransome Anikulapo Kuti a genius and the father of AfroBeat..!
kwa hapa tz unapata wapi ladha ya huo music mubasharaMimi napenda kujumuika na watu ili tucheze muziki.
Napenda sana muziki hasa wa mtindo wa Pop Punk ambao hujumuisha kundi la wanamuziki wengi jukwaani kama ule mtindo mwingine wa Rock.
Kuna makundi ambayo huwa nayafuatilia kama Blink-182, Fall Out Boy, Linking Park, Coldplay na The Eagles.
Lakini pia napenda R&B, Pop na Jazz.
Hata siijui mkuu nilipenda tu rangi ya huyu dada.Mzigua90 hujatupa yako nini maana yake
Ana rangi nzuri sana. Huwa naamini wanawake weusi ni wazuri tofauti na weupe wengi huwa wanabebwa na weupe wao. Kila sisi tulio katikati ngumu kujua kama mtu mzuri au mbaya ni mpaka mtu aone.rangi nzuri imetulia cute
kwa hapa tz unapata wapi ladha ya huo music mubashara
If you open your legs enough that your head is lowered by one-fourteenth of your height and raise your hands enough that your extended fingers touch the line of the top of your head, know that the centre of the extended limbs will be the navel, and the space between the legs will be an equilateral triangle".
The lower section of text gives these proportions
Jamaa alikuwa na hesabu kali sana huyo mchoraji miaka hiyo ya 1400 huko Italiani
- the length of the outspread arms is equal to the height of a man
- from the hairline to the bottom of the chin is one-tenth of the height of a man
- from below the chin to the top of the head is one-eighth of the height of a man
- from above the chest to the top of the head is one-sixth of the height of a man
- from above the chest to the hairline is one-seventh of the height of a man.
- the maximum width of the shoulders is a quarter of the height of a man.
- from the breasts to the top of the head is a quarter of the height of a man.
- the distance from the elbow to the tip of the hand is a quarter of the height of a man.
- the distance from the elbow to the armpit is one-eighth of the height of a man.
- the length of the hand is one-tenth of the height of a man.
- the root of the penis is at half the height of a man.
- the foot is one-seventh of the height of a man.
- from below the foot to below the knee is a quarter of the height of a man.
- from below the knee to the root of the penis is a quarter of the height of a man.
- the distances from below the chin to the nose and the eyebrows and the hairline are equal to the ears and to one-third of the face.
thats true....na ndiyo maana kuna mkorogo wakidhani uzuri wa mwanamke ni weupe wake kumbe siyo.Ana rangi nzuri sana. Huwa naamini wanawake weusi ni wazuri tofauti na weupe wengi huwa wanabebwa na weupe wao. Kila sisi tulio katikati ngumu kujua kama mtu mzuri au mbaya ni mpaka mtu aone.
Uligoma kunitumia picha, ungefanya hivyo kuna kitu ningesema hapaAna rangi nzuri sana. Huwa naamini wanawake weusi ni wazuri tofauti na weupe wengi huwa wanabebwa na weupe wao. Kila sisi tulio katikati ngumu kujua kama mtu mzuri au mbaya ni mpaka mtu aone.