Habari wakuu,kichwa cha habari hapo Juu kinajieleza,binafsi namchagua huyu jamaa Joseverest...kwa sababu ya ushapu wake wa kuwa #1 kureply kwa kila uzi unaoanzishwa hapa Jf kwa majukwaa yote...bado natafakari huyu jamaa inakuwaje hadi anakuwa wa kwanza najua hata hapa kwenye uzi wangu atakuwa wa kwanza...salute mkuu.
Naona kama watu hamlali kisa jamaa, kila mtu anaanzisha thread juu ya jamaa, jamani mwacheni afanye anavyotaka, JF ni yetu sote na mtu hapangiwi saaa ngapi apost au aache.