carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
[emoji23][emoji23]Carbamazepine
Asante Kaka
Mr Miller, Daby RRONDO cephalocaudo Madame S Asprin Nyani Ngabu KirangaBila kumsahau Mr. Miller respect brother
Hahahahaah kudadadekNamkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi najua wewe unamkubali sana Jokate sema unaogopa kumtaja. Hapana chezea kitu kinaitwa pyu pyu pyu!
Wapo wengi sana yani
Mwifwa
Humble African
Mshana
The bold
Zitto junior.
.....
Mzigua
Mr Miller, Daby RRONDO cephalocaudo Madame S Asprin Nyani Ngabu Kiranga
Nawakubali sana huwa hamnichoshi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]mimi kiukweli kuna members wana ni inspire sana sio mmoja na ninaomba niwaweke hapa kutokana na michango yao.
Humble africa
Kiranga
Shunie
Mzee Said Mohamed
Nyani Ngabu
Aspirin
Mwifwa
Malcom Lumumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaa... unajua watu wengi hawajui ID yangu myingine ni "To be continued "
Ahsante kwa kunikubali babu yako. We lazima utakuwa jiniaz. Ntakuaward PhD ya kemia ya ubanguaji korosho.
Babuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sh'kamoo kwanza,.mumu hapo juu. Nakuona unanigongea LIKE kimoyomoyo. Hii ni ishara ya PM zangu kujibiwa muda si mrefu kwa mafanikio makubwa.
asante chiefBila kumsahau Mr. Miller respect brother
asante KaruceeMr Miller, Daby RRONDO cephalocaudo Madame S Asprin Nyani Ngabu Kiranga
Nawakubali sana huwa hamnichoshi.
Mkuu! Shukrani kwa kuniamini. Huko vizuri pia joely sanduWapo wengi sana yani
Mwifa
Humble African
Mshana
The bold
Zitto junior.
.....
Mzigua